Naitwa Onesmo Masasi kutoka Heka manyoni nampa Hi! Bibi ang Paulina J. Kabarata na dada ang site nachema Hollaaaaaaaaaa!!
Samir Malembo wa Mazimbu
Naitwa Samir Malembo wa Mazimbu road Morogoro. Napenda kuwasalimu baba yangu Rahim Malembo na mama yangu Tattu Magwila, pamoja na shangazi yangu Tunu, bila kuwasahau Wahabi na Mnyamisi wa Sunya. Chezea Nyalifa wewee..utasuburi..Hallaaaaaa!
Samuel Cazolra
Naitwa samuel Cazolra Halaaa kwa wana wote na mwanangu Rose wa Makongo Juu Pupuoy.
Mohamed Mugondo
Hi kaka Nyalifa back again Mohamed Mugondo Kindi kitu cha mgebuka hcho from kigoma na wapa hai team feta wote team mwichande bila kumsahau mama angu Nusura Kindi pia salma chato, mugabo,Karibu kigomaaaaaaaaaa!