
Teophil
NAITWA TEOPHIL MKEMWA WAKATI MWEMA KWA WOTE WENYE KUTAZAMA SHOW.
Caren
Naitwa Caren wa Tegeta mtaa Msichoke, nampa Hi baba angu Gabi, Mama angu Joyce. anko Tanya, Freddie Cheba, Yusuph pamoja na Manga. KARIBUNI TEGETA MSICHIKE KWA MAMA TANYA.

Omary Mkadebwe
Hi EATV, mimi ni Omary Mkadebwe napenda kuzipeleka holla zangu kwa Familia ya Mwal. Genofeva Edward wa Msimbazi Senta, dada na kaka yangu Lecho na Rubeni bila kumsaau mjomba wangu Felix, hapana chezea Anko Nyarifa pamoja na Anti Prudensi, utakaangika
Shalom
Hi!!5 am Shalom, keep watching enewz, with ma parent frm mbeya lets wish holla 5 to ma uncle Herry Mwaruka akiwa hapa Mbeya, ujumbe aendelee kuangalia enewwwwz.