
Akwino Msombe
Akwino Msombe toka Uyole Mbeya Tanzania. Halla kwa Teresia Singaile na Farida Msombe wakiwa Uyole Mbeya Tanzania. Pia kwa Michael Msombe na Luchano Kisinga wakiwa Dar es salaam, Ujumbe, Ukiamini kwamba unaweza usingoje kuwezeshwa.

Nacma Mauldy
Hi ma name iz Nacma Mauldy or kidot babe nawapa hi ndugu zangu wote na nyote mnaonifaham bila kumsahau felicta joseph na sarah mapesa kutoka rukwa.hapana chezea EATV NA PRUDENCE GERALD.

Johnny Lee
Hallow to those EATV watchrz by Johnny Lee the last lee, Johnny.

B Kalonga
Hala kwa watu wote wanaonipendaaaa, kunijali, kuniheshimu, kunikumbuka kwa mambo mbalimbali ya hapa na paleeeeeeee nawapa sana halaaaaaaaa na mungu awabarikiiii napasaka njemaaaaaaa B KALONGA utalala nje.