Submitted by eric on Jumanne , 30th Aug , 2016 Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Nandi Mwiyombella akizungumza na waandishi wa habari kuhusu udhamini wa EATV AWARDS siku ya uzinduzi tarehe 17 Agosti 2016. Kushoto ni Meneja wa Masoko wa kituo cha East Africa Television (EATV) , Roy Mbowe pamoja na Afisa Habari wa BASATA, Aristides Kwizera. Mkuu wa Masoko wa East Africa Television (EATV), Roy Mbowe (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uzinduzi wa EATV AWARDS, siku ya tarehe 17 Agosti. Katikati ni Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Nandi Mwiyombella pamoja na Afisa habari wa BASATA, Aristides Kwizera (kulia). Tuzo hizo zilizinduliwa jijini Dar-es-salaam tarehe 17 Agosti 2016.