![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/002.PQR_ (Custom).jpg?itok=13C_nHRa)
P square wakisalimiana na waandishi wa habari mara walipowasili uwanja wa taifa wa ndege Mwl. Julius Kambarage Intl. Airport,
![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/2da64-peterpaul2 (Custom)_0.jpg?itok=4ohgE0Jy)
p square wakiwasiliana na mashabiki wake walipowasili uwanja wa ndege.
![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/BZqb03_IQAAYuFq.jpg large (Custom).jpg?itok=yBNyCmDV)
Wasanii wa Bongo wakiwa pamoja na P square mara baada ya kuzungumza na waandishi wa Habari.
![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/unnamed (12) (Custom).jpg?itok=VIWuymMs)
P square wakiongea na waandishi wa habari siku kabla ya Tamasha
![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/007 (Custom).jpg?itok=FuoodGBC)
P square wakijadiliana jambo na lady Jay D kabla ya kufanya show.
![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/131 (Custom)_0.jpg?itok=A1_0L75Y)
Gadner Habash akiwa na wasanii wa kundi la Hip Hop la kizazi kipya la Weusi wakipozi kwa picha ya pamoja.
![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/S8 (Custom).jpg?itok=3MwZ9Zx8)
Mtangazaji maarufu wa East Afrika television Dulla akiwa na floor Manager Dickson wakifurahia tamasha.
![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/S7 (Custom).jpg?itok=A04BbZAV)
Msanii mkali wa Hip Hop nchini Nikki wa pili akiwa nyuma ya jukwaa akisubilia kupanda kwenye steji.
![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/S12 (Custom).jpg?itok=N48sJ3Dx)
Pro. Jay akiwa na marafiki zake kwenye picha ya pamoja.
![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/12.png?itok=SPXSNM7d)
Vijana wa East Africa Television Dulla na Tbwai 360 wakiwa stejini wakiendeza tamasha la P square live in Dar
![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/IMG_7915 (Custom).jpg?itok=dupH4dOf)
Ben Paul akifungua steji la burudani kabla ya kuwakaribisha P square.
![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/2.png?itok=1GdbP8ob)
Ben Paul akiumwayamwaya moyo wake na kupagawisha mashabiki waliofika kumshuhudia.
![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/002-LIVE (Custom)_0.jpg?itok=A8Jhlumh)
P square wakileta burudani mwanana jukwaani huku wakionyesha staili zao maarufu za kudansi.
![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/7.png?itok=cbB8wymR)
Prof. jay naye akiwakumbusha mashabiki kwamba bado yupo na bado kwa kutoa burudani mwanana.
![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/004-LIVE (Custom).jpg?itok=Hfh5sf5m)
P square wakionyesha ujuzi wakutumia vyombo mbali mbali vya muziki.
![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/006 (Custom).jpg?itok=7U_s8lbW)
Mashabiki waliofika kushuhudia tamasha hilo la kufunga mwaka.
![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/b (Custom).jpg?itok=8p9Kutbo)
P square wakiongea na mashabiki katika burudani.
![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/JIDE5 (Custom).jpg?itok=UcKhWrLH)
Mkali wa Joto hasira Lady jayd akitumbuiza jukwaani na nyimbo zake maarufu.
![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/S16 (Custom)_0.jpg?itok=Z57DqTno)
Mashabiki wakisherekea tamasha la P square.
![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/L2 (Custom).jpg?itok=DGpB47Cg)
Peter wa Psquare akionyesha kufurahishwa hadi kuvua shati kuleta burudani zaidi.
![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/L3 (Custom).jpg?itok=GFkJFMmX)
peter akiwaimbia kwa hisia mashabiki wake.
![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/p20 (Custom).jpg?itok=2-8HGxmO)
Mrembo a.k.a beautiful Onyinye aliyepata fursa ya kupanda stejini na kupewa saa ya Peter wakati wa tamasha.
![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/S2 (Custom).jpg?itok=ume6XsR1)
Mashabiki wakifurahia tamasha hilo.
![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/L21 (Custom)_0.jpg?itok=Zyr0lc09)
![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/L15 (Custom).jpg?itok=jc3k0L9R)
P square wakionyesha umahiri wwao wakutawala steji na dansi.
![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/L30-1 (Custom)_0.jpg?itok=6W3obqGv)
![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/L4 (Custom).jpg?itok=z6xmtfBA)
P square wakiwashukuru mashabiki wao kwa kufika.
![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/S16 (Custom)_1.jpg?itok=3kE2QVDh)