Submitted by Telesphory on Jumanne , 6th Sep , 2016 Waendeshaji wa tamasha la 5SELEKT T-Bway na Shimee wakikiamsha kwenye jukwaa la tamasha la 5SELEKT lililofanyika katika shule ya sekondari Makongo siku ya ijumaa ya tarehe 26Agosti 2016. Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari Makongo waliojitokeza kushindana kucheza wimbo huitwao “teach me how to dougie” kwenye tamasha la 5SELEKT lililofanyika shuleni hapo siku ya ijumaa ya tarehe 26agosti 2016. Mwanafunzi wa kidato cha kwanza kutoka shule ya sekondari Makongo akionesha umahili wa kucheza kwenye tamasha la 5SELEKT lililofanyika shuleni hapo siku ya ijumaa ya tarehe 26agosti 2016. Umati wa wanafunzi wa shule ya sekondari Makongo wakishangilia kuhashiria kufurahia tamasha la 5SELEKT ambalo lilifanyika shuleni hapo siku ya ijumaa ya tarehe 26Agosti 2016. Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari Makongo wakiwa na nyuso za furaha baada ya kujishindia zawadi mbalimbali zilizoandaliwa kwenye tamasha la 5SELEKT lililofanyika shuleni hapo siku ya ijumaa ya tarehe 26agosti 2016. Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari Makongo wakimshangilia mwanafunzi mwenzao kwa kumbeba juu baada ya kujishindia zawadi kama “t-shirt” na begi kwenye tamasha la 5SELEKT lililofanyika shuleni hapo siku ya ijumaa ya tarehe 26Agosti 2016. Mwanafunzi wa shule ya sekondari Makongo akionesha umahili wa kuimba kwenye tamasha la 5SELEKT lililofanyika shuleni hapo siku ya ijumaa ya tarehe 26Agost 2016. Mwanafunzi wa shule ya sekondari Makongo akionesha umahili wa kuimba kwenye tamasha la 5SELEKT lililofanyika shuleni hapo siku ya ijumaa ya tarehe 26Agost 2016. Umati wa wanafunzi wa shule ya sekondari Makongo wakishangilia kuhashiria kufurahia tamasha ambalo lilifanyika shuleni hapo siku ya ijumaa ya tarehe 26Agosti 2016. Wanafunzi wa shule ya sekondari Makongo wliokua wakijiita Barnaba na Vanessa, wakionesha ufundi wa sauti kwa kuimba nyimbo hiitwyo siri ambayo imeimbwa na wasanii hao kwenye tamasha la 5SELEKT lililofanyika shuleni hapo siku ya ijumaa ya tarehe 26Agosti 2016.