Klabu ya Sporting Lisbon imetoa tamko kuhusiana na klabu ya Manchester United kukubali ...
Klabu ya Sporting Lisbon imetoa tamko kuhusiana na klabu ya Manchester United kukubali ...
Halmashauri ya jiji la Tanga imeongeza muda wa dirisha la maombi ya mikopo kwa wanawake, vijana...
Nyota wa klabu ya Manchester City na timu ya taifa ya Hispania Rodrigo Hernández Cascante,...
Rapper Wakazi ameendelea kupishana kauli na msanii mwenzie Zuchu yote haya yametokana na...
Kocha wa klabu ya Sporting Lisbon ya Ureno Ruben Amorim kwa mujibu wa vyombo vya Habari barani Ulaya vinamtaja kuwa ndiye kocha anayetizamiwa kuchukua nafasi ya Erik Ten Hag ndani ya Manchester United baada ya timu hiyo kutangaza kumfuta kazi Kocha huyo raia wa Uholanzi siku ya jana. Klabu ya Man United na Sporting Lisbon zipo kwenye majadiliano juu ya uhamisho wa Kocha huyo bora kwa sasa nchini Ureno.
Kocha huyo anayefundisha Sporting Lisbon ambayo ni Mabingwa watetezi wa ligi ya Ureno na ndiyo...
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani NECTA.Dkt.Said Mohamed, ametangaza matokeo ya darasa la...