Mbunge wa Mbeya Vijijini Bw. Oran Njeza akiwa katika moja ya shughuli zake za ukulima. Mbunge huyo ni mtaalamu wa kimataifa wa masuala ya benki na pia ni mfanyabiashara aliyewekeza kwenye shughuli za kilimo.
Kushoto ni Kikosi cha Simba na kulia ni Mwigulu Nchemba
Mkuu wa kitengo Cha mawasiliano na Uenezi wa NCCR Edward Simbeye
Timu zilizofuzu michuano ya ulaya msimu huu