Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa Mnyaa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Jumanne Maghembe kuwa Waziri wa Maliasilina Utalii Desemba 28,2015 Ikulu
Timu chache ndani ya hii miaka mitano ya hivi karibuni zimeweza kuwa na muendelezo mzuri wa kushiriki michuano ya Afrika na kufika hatua ya robo fainali ya mashindano hayo kama Simba SC.