Mkurugenzi Mtendaji Msaidizi kutoka Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya kuwasaidia wanawake wajasiriamalia wanaofanya biashaara mipakani
Mkurugenzi Mtendaji Msaidizi kutoka Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya kuwasaidia wanawake wajasiriamalia wanaofanya biashaara mipakani (TWCC),Bi. Mwajuma Hamza
Wawakilishi wa vijana kutoka Afrika mashariki pamoja na balozi wa vijana katika jumuiya ya Madola kwa pamoja wamekutaka katika Kituo cha Maendeleo ya Kimataifa cha MS TCDC-USA RIVER Arusha.