Timu ya soka ya vijana wa Tanzania wenye umri wa chini ya miaka 17 (Serengeti Boys).
Katibu wa kongamano la Baraza la Wanawake wa kiislamu Wilaya ya Kongwa Mariam Issa Msami.
Mzigo wa miwa ukiwa tayari umeshushwa kutoka kwenye gari la mizigo katika soko la Tandale.