Baadhi ya wananchi waliokuwepo mahakamani wakitaka kuwashushia kipigo watuhumiwa kabla ya kuokolewa na askari kwa kupakiwa kwenye gari ndogo inayoonekana pichani
Wauguzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wakimpokea Dada Neema Mwita Wambura (32) na kuanza mara moja kumfanyia tena uchunguzi wa afya yake katika majeraha aliyoyapata mara baada ya kumwagiwa uji wa moto uliokuwa ukichemka jikoni kitendo kilichofanywa na mume wake.