Mbunge wa Mbeya Vijijini Bw. Oran Njeza akiwa katika moja ya shughuli zake za ukulima. Mbunge huyo ni mtaalamu wa kimataifa wa masuala ya benki na pia ni mfanyabiashara aliyewekeza kwenye shughuli za kilimo.
Mwili wa mchimbaji uliotolewa ndani ya kifusi
Eneo la tukio baada ya ajali hiyo kutokea