
Nahodha wa stars Mbwana Ally Samata akiambaambaa na mpira jana wakati akiiongoza timu hiyo kwa mara ya kwanza dhidi ya Chad.

Wachezaji wa Tanzania Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu wanaokipiga na timu ya TP Mazembe ya DR. Congo.

Wachezaji wa Tanzania Mbwana Samata na Tomas Ulimwengu wanataraji kuja nchini na timu yao ya TP Mazembe ya Congo DR.

Kikosi cha taifa stars ambacho kitaivaa Msumbiji jumapili wiki hii.

kikosi cha taifa stars kikiwa safarini nje ya nchi.

Rais Kikwete akiwa na Mbwana Samata (Kulia) na Thomas Ulimwengu (Kushoto) alipokuwa ziarani nchini DRC

Baadhi ya wachezaji wa Taifa Stars muda mfupi kabla ya kuanza kwa pambano dhidi ya Zimbabwe

Wachezaji Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu wakifanya mazungumzo na shabiki mmoja wa soka baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa malimu nyerere DSM, Mwezi Machi mwaka huu.

Mbwana Samata (Kushoto) na Thomas Ulimwengu (Kulia) wakishangilia bao katika moja ya michezo ya Taifa Stars