Mtaa kwa mtaa
Daudi, mmoja kati ya vijana waliojiingiza kwenye matumizi ya dawa za kulevya, akijibu topic ambayo tulikuwa nayo mtaani ikiuliza, ''Ni kwa nini ukiwa na hela ya kubadilishia mboga uswahilini unaonekana unaringa''?
salaam
USIONJEEE.. mwathirika wa dawa za kulevya akiwaasa watazamaji kutojaribu kutumia dawa hizo kwa kuwa zina mateso makubwa sana.
Mtaa kwa mtaa
Mjumbe wa mtaa wa Kinondoni mjini, akielezea ni kwa nini mtu akiwa na pesa ya kubadilishia mboga uswahilini anaonekana anaringa.