Ze Comedy

Born : May 19.

Dr. Rushwa ndo jina linaloniweka hapa mjini! Napenda watu wa rika zote, watoto kwa wakubwa, wote nacheka nao! Kukata tamaa katika maisha kwangu ni mwiko! Napenda sana maendeleo ya mwingine, na mie hujitahidi nifanye kumzidi! Jambo nisilolijua hujitahidi mpaka nilijue.