Prezzo, Nonini wawafariji watoto
Wasanii wakubwa wa muziki kutoka nchini Kenya, Prezzo pamoja na Nonini hivi karibuni wameungana na kutumia muda kukaa pamoja na watoto wanaoishi katika mazingira magumu na kufurahia burudani mbalimbali pamoja nao katika kituo chao huko Kayole.