Watano TTTA kwenda China

Chama cha Mchezo wa Table Tenis TTTA,kimepata udhamini wa wachezaji wanne wa mchezo huo na kocha mmoja kutoka serikalini, kuelekea nchini China kujiandaa na Michuano ya Jumuiya ya Madola itakayofanyika jijini Grascow Scotland, julai mwaka huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS