Vilabu 30 vyathibitisha michuano ya kikapu Taifa
Vilabu zaidi ya 30 vya mpira wa kikapu kutoka mikoa mbalimbali hapa nchini, vimethibitisha kushiriki michuano klabu bingwa ya taifa ya mpira wa kikapu, inayotarajiwa kufanyika jijini Dar es salaam kuanzia aprili 5 mwaka huu.