TFF kukabiliana na wanaopanga matokeo Shirikisho la soka Tanzania TFF limesema kuwa taarifa za kuwepo kwa vitendo ama mchezo mchafu katika baadhi ya michezo ya ligi kuu ya soka Tanzania bara inayoelekea ukingoni wamezisikia. Read more about TFF kukabiliana na wanaopanga matokeo