Serikali inakamilisha sera ya gesi - Rais Kikwete
Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania amewahahakikishia Watanzania kwamba serikali ipo katika hatua za mwisho za kuandaa sera itakayosimamia sekta ya mafuta na gesi kwa ajili ya uwekezaji wenye tija kwa nchi.