Miyeyusho akana kukacha pambano na MFilipino

Bondia mtanzania Francis Miyeyusho chichi mawe, amesema yuko tayari kwa kushuka ulingoni aprili 5 mwaka huu, kupambana na bondia bingwa wa Ufilipino Ronald Pontillas katika pambano la kuwania ubingwa wa dunia uzito wa bantam kilo 59.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS