Wanasheria wampinga Profesa Shijvi kuhusu Katiba

Mjumbe wa bunge maalum la Katiba, Ismail Jusa

Baadhi ya wanasheria ambao ni wanafunzi wa Profesa Issa Shivji wameibuka na kusema kuwa matamshi ya mwalimu wao kuhusu katiba mpya yanapingana na maandiko yake ambayo yametumika kufundishia Chuo Kikuu kwa zaidi ya miaka 30.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS