Wakazi Dar watahadharishwa kuhusu Mafuriko
Wakazi wa jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania, wametakiwa kuchukua hatua za tahadhari kufuatia tishio la kuwepo kwa mafuriko yatakayosababishwa na mvua kubwa zinazoendela kunyesha katika maeneo yote ya mkoa wa Dar es Salaam.