Bomoa bomoa haikufuata utaratibu - wafanyabiashara
Baadhi ya wafanyabiasha katika eneo la kariakoo jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, wamelalamikia hatua ya uongozi wa manispaa ya Ilala ya kuendesha zoezi la kuvunja sehemu zao za biashara pasipo taarifa na wala wenyewe kuwepo wakati wa zoezi hilo.