Nimeanza muziki rasmi na "Makeke", Mswaki
Mtayarishaji muziki na rapa kutoka Black Curtains Records, Mswaki Mabeats ambaye ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina 'Makeke', amesema kuwa, kwa sasa ameamua kufanya ujio wake rasmi akiwa kama yeye mwenyewe.