TFF yabariki ushindi wa mezani Stand united
Shirikisho la soka Tanzania TFF limebariki maamuzi ya kamati yake ya Nidhamu ya kuipa ushindi Stand United ya Shinyanga dhidi ya JKT Kanembwa baada ya Kanembwa kuchezesha wachezaji wasiostahili kwenye mechi yao ya kiporo ya Ligi Daraja la Kwanza.