Navy Kenzo - Chelewa
daah I do it do it do it daah
dida dida dida di de x4
Chorus:
Bokodo, Mbona unachelewa chelewa
Bokodo, Mbona unachelewa chelewa
Bokodo, Mbona unachelewa chelewa
Aika:In the city where i stay mila na desturi
mwanaume kwanza heshima,
Nahreel:ohh oh Nishapita kila way,kuonyesha
nilivyokueka kwenye mutima
Aika:Nilifundwa mkole
Dira nzuri kwake kutoka kwa baba na mama,
Mi nahisi bado unanionea labda wewe huna nia
bora uniambie.