Kupiga kura KTMA mwisho usiku huu
Wakati tunaelekea katika tukio la kutuza wasanii wa muziki waliofanya vizuri kwa mwaka huu kupitia Kilimanjaro Music Awards 2014, zoezi la kuwapigia kura washiriki kukamilisha zile asilimia 70 za kuamua washindi, litafikia kikomo leo saa 6 usiku.