STL apata shavu kubwa kimuziki
Rapa mkali kutoka nchini Kenya, STL ameendelea kupiga hatua za mafanikio ya muziki wake na kuuvusha mipaka, ambapo safari hii mwanadada huyu amepata mkataba wa kimataifa wa kusambaza na kusimamia kazi zake za muziki kutoka Universal Records.