Pallaso atua Uganda kumwaga burudani
Msanii wa muziki wa miondoko ya Reggae na R&B, Pius Mayanja maarufu zaidi kama Pallaso ambaye makazi yake ni huko Marekani, ametua nchini Uganda kwaajili ya kutoa shavu katika onyesho kubwa la uzinduzi wa albam mpya ya Radio na Weasela hapo kesho.