YANGA YAKUBALI KUSHINDWA YAELEKEZEA NGUVU LIGI KUU
Beki hodari wa Timu ya Azam, Pascal Wawa akiruka juu kuwania mpira na Mshambuliaji wa Timu ya Yanga, Donard Ngoma
Klabu ya Yanga imekubali kushindwa baada ya kuondoshwa na Azam kwa mikwaju ya penati kwenye robo fainali ya michuano ya kombe la Kagame hapo jana kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Sala