Linah sasa hana stress tena
Staa wa muziki Linah ambaye anajiandaa kumaliza wiki na mkono mpya unaokwenda kwa jina 'No Stress', amewataka mashabiki wake kufahamu kuwa, hii ni kazi ambayo ndani yake ameamua kuanika hisia zake zote katika mahusiano yake ya kimapenzi.