Vijana tuna nguvu kubwa sana, tijitokeze kwa wingi. Mimi kama kijana nawa hamasisha vijana wenzangu kuwa tuwe kipaumbele katika zoezi zima la kuchagua viongozi, tukifanya makosa tutaumia wenyewe. Read more about Vijana tuna nguvu kubwa sana, tijitokeze kwa wingi.