Ondoeni adha ya huduma kwa TEHAMA: Mapunda
Watumishi wa serikali wametakiwa kutumia teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika kuwahudumia wananchi ili kuondoa adha ya upatikanaji wa huduma hizo ambazo hulazimika kuzifuata kwenye ofisi za serikali.