Kura sio maamuzi ya mwisho Jimbo la Arusha Mjini

Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM, Feruzy Bano.

Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM, Feruzy Bano ametangaza matokeo ya kura za maoni Jimbo la Arusha Mjini mapema jana, nakusema kwa sasa hawezi kusema aliyeshinda kwa kura ndio mshindi, sababu bado wana vikao vya kuchunja na atakayerudishwa jina lake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS