Mifuko 200 ya sukari yakamatwa Jijini Tanga
Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA)Mkoa Tanga imekamata shehena ya mifuko 200 ya sukari katika wilaya ya muheza eneo la Mpapayu mkoani Tanga iliyokua ikitokea nchini Brazil kupitia visiwa vya Zanzibar na kupitishiwa katika bandari ya Kigombe