Baadhi ya viongozi wa ACT Morogoro wahamia CHADEMA
Viongozi wandamizi na wanachama wa chama cha ACT Wazalendo mkoa wa Morogoro akiwemo mwenyekiti wa chama hicho mkoa bwana Magnus Msambira wameamua kukihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.
