Belle 9 atamani kuibua chipukizi
Msanii wa muziki Belle 9 anayeuwakilisha mkoa wa Morogoro amesema kuwa kama angepata uwezo mkubwa kifedha na ushirikiano na wadau wa muziki basi angefanya ziara mbalimbali za muziki katika wilaya na mitaa ili kupata sapoti zao.

