Wachezaji wetu wa mkopo wapewe bima kubwa -Azam FC
Mabingwa wa Kombe la Kagame Timu ya Azam FC imesema wanaendelea na mazoezi huku ikiwa na wachezaji pungufu kutokana na baadhi ya wachezaji wa kimataifa na wa ndani kuitwa katika kikosi cha timu ya Taifa.

