Washiriki Dance100% watakiwa kujifua zaidi
Baada ya kumalizika kwa hatua ya Robo Fainali ya mashindano makubwa ya Dance 100% 2015 mwishoni mwa wiki, Mratibu wa mashindano hayo kutoka upande wa BASATA, Kwerugira Maregesi ametoa wito kwa makundi yaliyoingia nusu fainali.

