TANZANIA INA UHABA WA MADAKTARI BINGWA WA FIGO
Serikali inakabiliwa na tatizo kubwa la uhaba wa madkatari bingwa wa magonjwa ya figo, hali inayosababisha huduma hiyo kupatikana kwa uhaba mkubwa na kupelekea kuongezeka kwa vifo vinavyotokana na ugonjwa huo.

