Serikali yazindua taasisi ya magonjwa ya moyo`
Serikali ya Tanzania imesema ujenzi wa taasisi ya magonjwa ya moyo na uzibaji wa matundu iliyopo katika hospital ya taifa ya muhimbili umesababisha serikali kuokoa zaidi ya shilingi bilioni 2.5 ambazo zingetumika kuwasafirisha nje ya nchi wagonjwa

