Tujitokeza kwa wingi kupiga kura. Watanzania hasa vijana tujitokeze kwa wingi kupiga kura na sio ushabiki wa vyama tuu ili tupate viongozi bora, Ni zamu yako kijana usichukulie poa 2015. Read more about Tujitokeza kwa wingi kupiga kura.