Tutapata ushindi wa kihistoria Jumamosi Tanga-Kerr

Kocha wa Simba SC Dylan Kerr amesema kikosi chake kitafanya vizuri katika msimu ujao wa Ligi Kuu unaotarajiwa kuanza Jumamosi kwa kupata ushindi wa 'kihistoria' ugenini itakapokabiliana na wenyeji African Sports uwanja uwanja wa Mkwakwani Tanga.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS