Tutacheza mechi za majaribio sio zakirafiki-Mkwasa
Kocha wa Timu ya Taifa Taifa Stars Charles Mkwasa amesema, mechi waliyoiomba nchini Uturuki ni mechi ya majaribio na sio ya kirafiki ambayo itawasaidia wachezaji kuweza kujua viwango vyao kwa ajili ya kupambana na Nigeria Septemba 5 mwaka huu.