Ndanda yapania kukabiliana na mikiki ya Ligi kuu

Uongozi wa Ndanda Fc ya Mtwara umesema hauna wasiwasi na timu yao kwa kuwa wamefanya maandalizi mazuri kwa ajili ya kukabiliana na mikiki mikiki ya Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara inayotarajiwa kuanza mwezi ujao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS