'Usingizi' wa Masela dakika tatu tu
Star wa muziki wa dansi Taarsisi Masela Joto ambaye hivi sasa ameachia wimbo wake mpya unaoitwa 'Usingizi' amesema kuwa hii ni mara yake ya kwanza kutengeneza wimbo kwa kutumia dakika tatu tu tofauti na nyimbo nyingi za dansi kuwa ndefu mno.

