Sharrif Hamad afungua pazia la kampeni Zanzibar
Mgombea urasi wa Zanzibar kupitia chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad amesema atahakikisha anaimarisha uchumi wa visiwa hivyo akipata ridhaa ya kuwa Rais akishinda uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka huu.
