Ushahidi kuhusu Rema waibuka
Tetesi za star wa muziki wa nchini Uganda, Rema Namakula kuzuiwa kuingia Marekani na kurudishwa kwa nguvu nyumbani na mamlaka ya uhamiaji ya nchi hiyo, zimeendelea kupata nguvu baada ya barua inayoaminika kuwa inatoka kwa mamlaka hiyo kuibuka.

